Bw. Masha Mshomba amemshukuru Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Bw. Abdul-Razaq Badru kwa ushirikiano mkubwa baina ya taasisi hizo.
Zoezi hilo la utoaji elimu limefanywa na Bw. Selemani Majingo, Mkuu wa PSSSF Mkoa wa Tanga pamoja na Bw. John Mwita, Afisa Matekelezo Mkoa wa Ilala.
Kwa upande wake, Bw. Simon Kihwele, Afisa Uendeshaji kutoka Makao Makuu Dodoma alitumia fursa hiyo kuendesha zoezi la uhakiki wa taarifa kwa Mkurugenzi Mkuu wa NSSF pamoja na baadhi ya Wajumbe wa Baraza hilo wakati wa Mkutano Mkuu wa Baraza la 54 la Wafanyakazi wa NSSF, ambalo linafanyika jijini Tanga.

.jpeg)

No comments:
Post a Comment