Mkuu
wa Mkoa wa Morogoro, Mhe, Adam Malima (wa tatu kulia), akikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa Tawi jipya la Benki ya NMB Dumila lililopo
mkoani Morogoro, wengine katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Kilosa, Shaka
Hamdu Shaka (wa tatu kushoto), Afisa Mkuu Wateja Binafsi na Biashara wa
Benki ya NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia), Mkuu wa Idara ya Masoko
na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Rahma Mwapachu (kulia), Meneja
Uendeshaji Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Dodoma, Lilian Silaa (kushoto) na
wa pili kushoto ni Meneja wa NMB Kanda ya Kati, Janeth Shango.Meneja
Tawi la NMB Dumila, Innocent Kato alimwelezea Mhe, Adam Malima kuhusu
huduma zilolewazo na Tawi la NMB Dumila baada ya uzinduzi rasmi.
Thursday, November 23, 2023

Tawi la NMB Dumila lazinduliwa rasmi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment