HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 22, 2023

MERIDIANBET YAIBUKIA TEMEKE KWA MAMA NTILIE

 

WENYEWE wanakuambia “CHAGUA TUKUPE” wakazi wa Temeke hawajachagua lakini Meridianbet wasivyokua wachoyo wa fadhila wamewapa ambapo mapema leo kampuni hiyo wamefika eneo hilo ambapo wametoa msaada wa Aprons na Tisheti kwa Mama Ntilie wa eneo hilo.

Wataalamu hao wa michezo ya Kubashiri wenye ODDS KUBWA na za KIBABE wameendelea kuonesha umahiri wao katika kurudisha katika jamii inayowazunguka ambapo leo wamehakikisha Mama Ntilie eneo la Temeke Sterio wanafanya shughuli zao katika hali ya usafi baada ya kugawa Aprons na Tisheti.

Kipindi ambacho ligi zimemalizika, Meridianbet inakwambia sio mwisho wa wewe kupiga pesa wakiwa wamekupatia michezo ya kasino kama yote ambayo kwa dau dogo tuu unapiga mkwanja mrefu. Sloti, Aviator, Roulette Poker, Pia Premium yote hiyo ni kwaajili yako ingia na ucheze muda huu.

Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet Nancy Ingram alisema “Ninayo furaha kufika eneo hili la Temeke Sterio na kugawa vifaa hivi ambavyo ni Aprons na Tisheti kwa Mama Zangu ambao wapo eneo hili kwajili ya kuwasaidia katika kutimiza majukumu yao kwenye hali ya usafi na hii haitaishia hapa nina hakika kwa kushirikiana na kampuni yetu ya Meridianbet tutakuja wakati mwingine kuhakikisha tunatoa zaidi ya hichi”

Baada ya kugawa Aprons na Tisheti kwa Mama Ntilie maeneo ya Temeke wakina Mama wa eneo hilo wameonesha kufurahishwa na kilichofanywa na Meridianbet ambapo Mama Hamida alipata nafasi ya kuzungumza na alisema haya “Kiukweli tumefurishwa na kitendo ambacho kimefanywa na kampuni ya Meridianbet kwetu sisi na napenda kuwashukuru sana huku nikiwataka waendelee na moyo huu wa kurudisha kwenye jamii yao na naomba niseme Makampuni mengine yaige mfano kutoka Meridianbet”

*Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Unataka kucheza kasino ya mtandaoni? Basi nenda Meridianbet wana michezo mingi sana ambayo ni rahisi kwako kushinda kama Aviator kwa dau la shilingi 200/= tu basi unaweza kuwa Milionea, Poker, Roullete, Piggy Party na mingine ambayo ni rahisi sana na pesa yake ni ya chap chap hakuna kusema unasubiri wiki au siku iishe.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Unachelewa wapi kujiunga na Meridianbet upate bonasi kubwa kama hiyo uitumie kucheza michezo ya kasino ambayo inayotolewa na Meridianbet na uipendayo wewe mteja wao. Jiunge sasa na Mabingwa ujiweke kwenye nafasi ya ushindi.

Usikose kucheza Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette, Piggy Party, Pia Premium ambayo hiyo yote itakuwa karibu nawe wakati ligi zikiwa zimeisha na wewe utaweza kujipigia pesa huko.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad