HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 22, 2023

JUKWAA LA MAJADILIANO YA VYAMA VYA SIASA LAZINDULIWA KIGOMA

  


Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo tarehe 22 Julai 2023 kimezindua Jukwaa la Majadiliano ya Vyama vya Siasa Wilaya ya Kigoma Mjini kwa minajili ya kukuza, kuimarisha na kudumisha Demokrasia ya siasa ya vyama vingi.

Mradi huu wa kuunda majukwaa ya majadiliano umefadhiliwa na Ubalozi wa Marekani nchini.

Vyama vilivyoshiriki ni pamoja na CCM, CHADEMA, ACT-WAZALENDO, NCCR - Mageuzi pamoja na CUF.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad