HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 14, 2023

MCHEZO UNAOTOA WASHINDI KIRAHISI MERIDIANBET

 


*Sloti ya Zombie Apocalypse
UNAPOICHEZA ndivyo utamu unavyozidi kuwa mwingi, mchezo mzuri na wenye mandhari ya sinema za Mazombie unakupa uhuru wa kujitafuta mara tu unapouanza kuucheza, furahia ushindi mwingi unapoingia kasino ya mtandaoni na kisha kuchagua mchezo wa Zombie Apocalypse.

Hatua za Ushindi Kasino ya Mtandaoni
Zombie Apocalypse una mistari 20 ya malipo, ushindi wote hulipwa kutoka kushoto kwenda kulia, isipokuwa alama ya Bonasi. Kwenye mstari wa ushindi ni ushindi mkubwa pekee unaolipwa. Alama ya Wild hubadilisha alama zote isipokuwa ishara ya Bonasi. Dau la chini kuanzia Tsh 10 sawa na 1.00 PTS.

Jinsi ya Kucheza Zombie Apocalypse Kasino ya Mtandaoni
Kutengeneza ushindi mwingi kupitia kasino ya mtandaoni, bonyeza kitufe cha kubashiri/Gamble na ujaribu kukisia kama kadi/karata inayofuata ni nyekundu au nyeusi ukipatia ushindi wako utaongezwa mara mbili Zaidi na kama utakosea basi ushindi wako utafutwa.

Sloti ya Zombie Apocalypse inakupa nafasi ya kupata mizunguko ya bure pale tu unapoanza kucheza, mizunguko hii inaipata kwenye namba hizi 9,10,11,12,13,14 au 15. Kila alama ya Wild inayoonekana kwenye mzunguko ina nyongeza mara 2 au 3.

Kasino ya mtandaoni ina Jackpoti za aina 3 tofauti za Jackpot ambayo mchezaji anaweza kutarajia ushindi. Mchezaji anapobofya spin, asilimia kadhaa ya hisa zake huingia kwenye sehemu ya jackpot. Jackpot inayoendelea inakua, inakuwa kubwa zaidi na zaidi, hadi mchezaji mmoja atashinda. Zawadi ya jackpot huhamishiwa moja kwa moja kwenda akaunti ya pesa ya mchezaji.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko 50 ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad