HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 17, 2023

KAMISHNA AWADH AFUNGUA MAFUNZO YA WAKUU WA USALAMA BARABARANI MIKOA (RTO'S) NA WAKAGUZI WA MAGARI NCHINI

Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna wa Polisi Awadhi Haji (wapili kushoto) akimkabidhi tuzo maalum Mwenyekiti wa Makampuni ya Super Star, Seif Ali Seif (katikati), kwa kutambua mchango wake katika swala zima la usalama barabarani wakati wa ufunguzi wa Mafunzo maalum kwa Maafisa wa Polisi wa Usalama Barabarani Mikoa (Rto's) na Wakaguzi wa Magari nchini, ulioanza leo Julai 17, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Superdoll, jijini Dar Es Salaam. Mafunzo hayo yanatolewa na wataalam kutoka Kampuni ya Superdoll na yanafanyika kwa siku tatu, ambapo yatahusisha wadau mbalimbali wa Usalama Barabarani wakiwemo TRA, LATRA na Baadhi ya vyuo vya udereva. Wengine pichani ni Naibu Kamishna wa Polisi Frasser Kashai (wapili kulia), Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi Ramadhan Ng'anzi (kulia) pamoja na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Superdoll, Fulgence Buberwa.
 
Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishna wa Polisi Awadhi Haji akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo maalum kwa Maafisa wa Polisi wa Usalama Barabarani Mikoa (Rto's) na Wakaguzi wa Magari nchini, ulioanza leo Julai 17, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Superdoll, jijini Dar Es Salaam. 

Mwenyekiti wa Makampuni ya Supedoll, Seif Ali Seif akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo maalum kwa Maafisa wa Polisi wa Usalama Barabarani Mikoa (Rto's) na Wakaguzi wa Magari nchini, ulioanza leo Julai 17, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Superdoll, jijini Dar Es Salaam. 
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamishna Msaidizi wa Polisi Ramadhan Ng'anzi akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mafunzo maalum kwa Maafisa wa Polisi wa Usalama Barabarani Mikoa (Rto's) na Wakaguzi wa Magari nchini, ulioanza leo Julai 17, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Superdoll, jijini Dar Es Salaam. 

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Superdoll, Fulgence Buberwa akizungumza wakati akitoa mada katika ufunguzi wa Mafunzo maalum kwa Maafisa wa Polisi wa Usalama Barabarani Mikoa (Rto's) na Wakaguzi wa Magari nchini, ulioanza leo Julai 17, 2023, katika ukumbi wa mikutano wa Superdoll, jijini Dar Es Salaam. 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad