HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 18, 2023

CHUO KIKUU KATOLIKI CHA RUAHA (RUCU) YAENDELEA KUTOA ELIMU MAONESHO YA 18 ELIMU YA JUU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA TCU

 


Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Dkt. Willy Migodela akitoa ufafanuzi kwa mzazi wa mwanafunzi alipokuwa anata kupata ufafanuzi kuhusu Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Dkt Julius Lusasiakitoa elimu kuhusu  kozi zinazotolewa chuoni hapo kwa wazazi pamoja na mwanafunzi waliofika katika bando la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mhadhili kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Kelvin Komba akitoa elimu kuhusu kozi zinazotolewa chuoni hapo kwa baadhi ya wananchi waliofika katika banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Shahada za Awali kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Dkt. Willy Migodela akitoa ufafanuzi kwa mzazi wa mwanafunzi alipokuwa anata kupata ufafanuzi kuhusu Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam. Kulia ni Mhadhili wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Emmanuel Reuben.
Ofisa Udahili kutoka Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Dkt Julius Lusasi akiwaonesha baadhi ya kozi zinazotolewa chuoni hapo wanafunzi waliofika katika bando la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mwanachuo wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Kelvin Bhiragu akitolea ufafanuzi kuhusu Chuo hicho kwa wananchi walipotembelea Banda la Chuo hicho katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mwanachuo wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Godfrey Mbilinyi akitoa elimu kuhusu microtome machine ya kukatia sehemu ya ya mwili wa binadamu ili kupata vipande vidogo dogo kwaajiri ya kupima ,, mfano kansa katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Mwanachuo wa Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) Anna Mbena akitoa elimu kuhusu Sayansi ya Afya na Mazingira katika udhibiti wa magonjwa na udhibiti wa uchafuzi wa Mazingira katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.
Maonesho yakiendelea katika Banda la Chuo Kikuu Katoliki cha Ruaha (Rucu) katika maonesho ya 18 ya Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia yaliyoandaliwa na Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) yaliyoanza katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad