HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 18, 2023

Enjoy Uzuri na Urahisi wa Huu Mchezo wa Kasino-Hot Shots Mines

 


HII ni kwa wapenzi wa michezo isiyo ya kasino kama vile kubashiri mubashara na kucheza bahati nasibu, ni mchezo wa Hot Shots Mines. Huu ni mchezo wa mkakati wa awamu ambao ni mzuri kwa wapenzi wa soka na michezo ya kasino ya mtandaoni, mchezo huu wa Hot Shot Mines unachezwa kwenye uwanja wa soka katika msitu wa kuvutia.

Hot Shot Mines una vyumba 25, kazi yako ni kuvifungua moja baada ya jingine. Ogopa sana kadi nyekundu, hufanya kutomaliza zamu yako. Kadri unavyofungua masanduku zaidi, ndivyo unavyopata zawadi/ushindi zaidi.

Hatua ya Kucheza Hot Shots Mines Kasino ya Mtandaoni.

Unapoucheza huu mchezo wa kasino ya mtandaoni ya Meridianbet unapaswa kuchagua kadi moja, mbili, tatu, tano, saba, kumi, au kumi na tano nyekundu. Idadi ya Kadi nyekundu unazozidi kuchagua, ndivyo dau la ushindi linavyozidi kuongezeka na malipo kuwa makubwa zaidi.

Ushindi Na Malipo
Hot Shots Mines kutoka kasino ya mtandaoni ya Meridianbet una matoleo tofauti kulingana na idadi ya kadi nyekundu utakazo chagua, Malipo kwa kila toleo la mchezo ni kama ifuatavyo:

Toleo la Kadi moja nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi moja nyekundu uwanjani utapata;
Mara 5.9x ya dau lako ukicheza vyumba 21,
Mara 7.85x ya dau lako ukicheza vyumba 22,
Mara 11.8x ya dau lako ukicheza vyumba 23,
Mara 23.5x ya dau lako ukicheza vyumba 24,

Toleo la Kadi mbili nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi mbili nyekundu uwanjani utapata;
Mara 28.2x ya dau lako ukicheza vyumba 21,
Mara 47x ya dau lako ukicheza vyumba 22,
Mara 94x ya dau lako ukicheza vyumba 23,
Mara 282x ya dau lako ukicheza vyumba 24.

Toleo la Kadi tatu nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi tatu nyekundu uwanjani utapata;
Mara 38.7x ya dau lako ukicheza vyumba 17,
Mara 62x ya dau lako ukicheza vyumba 18,
Mara 109x ya dau lako ukicheza vyumba 19,
Mara 217x ya dau lako ukicheza vyumba 20.

Toleo la Kadi tano nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi tano nyekundu uwanjani utapata;
Mara 39x ya dau lako ukicheza vyumba 12,
Mara 63.5x ya dau lako ukicheza vyumba 13,
Mara 109x ya dau lako ukicheza vyumba 14,
Mara 200x ya dau lako ukicheza vyumba 15.

Toleo la Kadi saba nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi saba nyekundu uwanjani utapata;
Mara 39.5x ya dau lako ukicheza vyumba 09,
Mara 70.5x ya dau lako ukicheza vyumba 10,
Mara 132x ya dau lako ukicheza vyumba 11,
Mara265x ya dau lako ukicheza vyumba 12.

Toleo la Kadi kumi nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi kumi nyekundu uwanjani utapata;
Mara 16.7x ya dau lako ukicheza vyumba 05,
Mara 33.3x ya dau lako ukicheza vyumba 06,
Mara 70.5x ya dau lako ukicheza vyumba 07,
Mara 158x ya dau lako ukicheza vyumba 08.

Toleo la kumi na tano nyekundu:
Kwa toleo hili la uwepo wa kadi kumi na tano nyekundu uwanjani utapata;
Mara 18.1x ya dau lako ukicheza vyumba 03,
Mara 57x ya dau lako ukicheza vyumba 04,
Mara 200x ya dau lako ukicheza vyumba 05.

NB: Ukijisajili Meridianbet unapewa bonasi ya mizunguko ya bure kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Jisajili na Cheza.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad