DK MAHERA AKABIDHI OFISI KWA KAILIMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, March 15, 2023

DK MAHERA AKABIDHI OFISI KWA KAILIMA

 

Mkurugenzi wa zamani wa Uchaguzi ambaye kwa sasa ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Dkt. Wilson Mahera (kushoto) akimkabidhi vitendea Kazi Mkurugenzi Mpya wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima. Makabidhiano hayo ya ofisi yamefanyika leo Machi 14,2023 katika Ofisi za Tume Njedengwa Jijini Dodoma. (Picha na NEC)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad