HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 19, 2022

WAFANYABIASHARA DODOMA WAELEZEA WATAKAVYONUFAINA NA ANWANI ZA MAKAZI+video

Mtaalamu wa Mfumo wa Kidijitali wa Anuani za Makazi, Masele Mabula akielezea kuhusu postikodi
Mjumbe wa Timu ya Uratibu Mfumo wa Anuani za Makazi Kitaifa, Arnold Mkude akielezea muundo wa mfumo wa anuani za makazi na manufaa yake.Mfugaji wa sungura, Tupokigwe Mwatija akisikiliza kwa makini wakati wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ripae Enterprises mfanyabiashara Habiba Maduga akiwa na mwanye ambaye pia ni mkurugenzi wa kampuni hiyo.

Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano huo.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,
Baadhi ya wafanyabiashara waliohudhuria mafunzo ya umuhimu wa anwani za makazi kibiashara, wakielezea jinsi walivyonufaika na mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari jijini Dodoma hivi karibuni.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO TV/BLOG
0754264203

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad