HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 19, 2022

KONGAMANO LA SITA LA KISWAHILI LA KIMATAIFA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akitoa hutuba yake leo katika Kongamano la sita la Kiswahili la Kimataifa lililofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
[Picha na Ikulu] 


Viongozi na Washiriki mbali mbali wakiwa katika Kongamano la Sita la Kiswahili la Kimataifa lililofungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.[Picha na Ikulu] 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad