MATUKIO WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 9, 2022

MATUKIO WAZIRI MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Mpwapwa George Malima, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Mlalo Rashid Abdallah Shangazi, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako, Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Ridhiwani Kikwete, Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Vijijini Mwita Waitara Bungeni jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum Rose Tweve (kushoto) na Juliana Shonza (katikati) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Mwibara Charles Kajege (kushoto) na Mbunge wa Katavi Isaac Kamwelwe (katikati), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Novemba 9, 2022.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad