HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 9, 2022

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MITAMBO YA UZALISHAJI MAJI RUVU CHINI

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Crypian Luhemeja wakati alipotembelea mitambo ya uzalishaji Maji ya Ruvu Chini iliopo mkoani Pwani leo tarehe 09 Novemba 2022.


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad