HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 20, 2022

SPIKA DKT. TULIA AFUNGUA WARSHA YA UHAMASISHAJI CWP KANDA YA AFRIKA KUHUSU WABUNGE WANAWAKE KATIKA UONGOZI NA SIASA


Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua warsha ya uhamasishaji kwa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2022 katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Mwenyekiti wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Mhe. Dkt. Zainab Gimba akizungumza katika warsha ya uhamasishaji kwa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2022 katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Katibu wa Bunge ambaye pia ni Katibu wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza katika warsha ya uhamasishaji kwa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2022 katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika wakishiriki katika warsha ya uhamasishaji ya Chama hicho kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2022 katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam. Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Chama cha Wanawake wa Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya Afrika baada ya kufungua warsha ya uhamasishaji ya Chama hicho kuhusu Wabunge Wanawake katika uongozi na siasa iliyofanyika leo tarehe 20 Oktoba, 2022 katika hoteli ya Ramada Jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Chama hicho, Mhe. Dkt. Zainab Gimba. Warsha hiyo inategemea kufanyika kwa muda wa siku mbili na imehudhuriwa na nchi 10 za Afrika.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad