MKAZI WA SOWETO JIJINI MBEYA ASHINDA MILIONI 8 PROMOSHENI YA 'BONGE BONSAI' MCHEZO WA BIKOSPORTS - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 31, 2022

MKAZI WA SOWETO JIJINI MBEYA ASHINDA MILIONI 8 PROMOSHENI YA 'BONGE BONSAI' MCHEZO WA BIKOSPORTS

 

Na Mwandishi Wetu, Mbeya

MKAZI wa Soweto, mkoani Mbeya, Joachim Pius, amefanikiwa kushinda sh milioni 8 za mchezo wa kubashiri matokeo ya michezo mbalimbali duniani ya bikosports, ambayo wana promosheni yao inayojulikana kama bonge bonsai.

Akizunguza jana mkoani Mbeya, Pius alisema kwamba ujio wa fedha zake utaenda kulainisha maisha yake kwa sababu amekuwa na ndoto kubwa ya kumiliki bajaj yake ili aitumie kama ajira yake.

Alisema siku zote amekuwa akibeti na bikosports, hivyo kuingia kwa fedha zake hizo ni sehemu nzuri ya kuhakikisha kuwa maisha yake yanakuwa mazuri.

“Niliweka mkeka wa Bikosports nikashinda sh Milioni 4 na kuamua kuweka tena mwingine ambao nao pia nilipatia na kupewa bonasi nyingine ya bonge sh milioni hivyo kufanya jumla ya fedha zote zilizoshinda ikiwa ni sh million inane.

“Naomba Watanzania wenzangu nao wabashiri matokeo ya michezo kwa kupitia bikosports ili nao wavune fedha kama nilivyoshinda mimi, ambao unapokea ushindi wako mara baada ya mkeka wako kutiki, huku namba yangu ya kampuni ikiwa ni 101010.

Watanzania wanaweza kubeti moja kwa moja kwa kupitia mtandao ambao ni kwa www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaobeti kwa kwa kucheza *149*89# ambapo namba ya kampuni ni 101010 na kutoa nafasi kubwa kwa watu wote kubashiri na kupata ushindi kwa asilimis kubwa nchini.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad