Mkurugenzi
wa Wateja Wakubwa wa Tanzania Commercil Bank TCB Adolphina William
akizungumza wakati wa semina maalum kwa wastaafu iliyoandaliwa na TCB
kwa wastaafu wote wa jiji la Dar es Salaam kwa ajili ya kuwajenga na
kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndoto zao. ,
hafla hiyo imefanyika leo katika Ukumbi wa Karume uliopo katika viwanja
vya sabasaba, wengine pichani ni Maafisa kutoka TCB"
Meneja
wa Tanzania Commercial Bank TCB Tawi la Metropolitan Lilian Mbaya,
akitoa huduma kwa mteja wa Benki hiyo ambae pia ni mstaafu wakati wa
Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es
Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu
sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume
hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba
Meneja
wa Tanzania Commercial Bank TCB Tawi la Kariakoo Faraji Basso
akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu
wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na
kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo
katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini
humo.
Meneja
wa Tanzania Commercial Bank akizungumza na wazee wastaafu waliohudhuria
Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu wote wa jiji la Dar es
Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu
sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume
hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini humo.
Meneja
Mwandamizi wa Tanzania Commercial Bank (TCB) Ramadhani Mganga
akizungumza wakati wa Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya wastafu
wote wa jiji la Dar es Salaam ili kuwajenga na kuwapa elimu ya fedha na
kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao hafla hiyo imefanyika leo
katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika viwanja vya sabasaba jijini
humo.
Afisa
wa Tanzania Tanzania Commercial Bank akiendelea kufanya usajili kwa
wazee waliokuwa wakiingia kwenye Semina iliyoandaliwa na TCB kwaajili ya
wastafu wote wa jiji la Dar es Salaam yenye lengo la kuwajenga na
kuwapa elimu ya fedha na kuamini kuwa kustaafu sio mwisho wa ndotozao
hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa Karume hall uliyopo katika
viwanja vya sabasaba jijini humo.
No comments:
Post a Comment