BALOZI SOKOINE AKABIDHI ZAWADI YA PICHA KWA MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI SAUDI ARABIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 8, 2022

BALOZI SOKOINE AKABIDHI ZAWADI YA PICHA KWA MKUU WA IDARA YA UHAMIAJI SAUDI ARABIA

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akimkabidhi zawadi ya picha Mkuu wa Idara ya Uhamiaji wa Ufalme wa Saudi Arabia Luteni Generali Suliman Al-Yahya jana jioni katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad