MAJALIWA AZINDUA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU WA RUANGWA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 12, 2022

MAJALIWA AZINDUA UWANJA WA MPIRA WA MIGUU WA RUANGWA

 \Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kufungua uwanja wa Majaliwa katika halmashuri ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Septemba 11, 2022. Kushoto kwake ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Zainab Telack na kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Dkt. Theobald Sabi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua uwanja wa Majaliwa katika halmashuri ya Ruangwa mkoa wa Lindi, Septemba 11, 2022. Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

1 comment:

Post Bottom Ad