MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA SITA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 19, 2022

MAJALIWA AFUNGUA KONGAMANO LA SITA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI

 

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Kongamano la Sita la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 19, 2022.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha nakala za Taarifa ya Utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi ya mwaka 2004 kwa mwaka 2021/2022 baada ya kuizindua kwenye Kongamano la Sita la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi alilolifungua kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. Kushoto ni Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji na kulia ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi, Bengi Issa.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano la Sita la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua kongamano hilo kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Septemba 19, 2022.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad