OMO 'MKALI WA MADOA SUGU' ILIVYOIBAMBA MBAGALA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, August 3, 2022

OMO 'MKALI WA MADOA SUGU' ILIVYOIBAMBA MBAGALA

Wakazi wa maeneo mbalimbali ya Mbagala wakiwa wamefurika kwenye viwanya vya Zakiem wakifuatilia promosheni ya sabuni ya kufulia 'Mkali wa Madoa Sugu' ya Omo, iliyofanyika mwishoni mwa wiki. katika promosheni hiyo wakazi hao walinufaika kwa zawadi mbalimbali zinazokuwa zikitolewa siku hiyo.
Sehemu ya wakazi wa maeneo mbalimbali ya Mbagala wakifatilia moja ya michezo iliyokuwa ikifanyika  kwenye viwanya vya Zakiem wakati wa promosheni ya sabuni ya kufulia 'Mkali wa Madoa Sugu' ya Omo, iliyofanyika mwishoni mwa wiki.

Mmoja wa wakazi wa Mbagala Zakiem (jina kapuni) akizungusha gurudumu wakati wa mchezo wa kubahatisha zawadi wakati wa promosheni ya sabuni ya kufulia 'Mkali wa Madoa Sugu' ya Omo, iliyofanyika mwishoni mwa wiki.
 Ilikuwa ni shangwe tu siku hiyo.

Sehemu ya washidi wakiwa na zawadi zao.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad