Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
amesimama pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani Sultan
Haitham bin Tariq Al Said wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa
katika mapokezi Rasmi yaliyofanyika kwenye viwanja vya Kasri ya Al Alam
Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa
katika picha ya pamoja na Mwenyeji wake Kiongozi Mkuu wa Taifa la Omani
Sultan Oman Haitham bin Tariq Al Said kabla ya kuanza mazungumzo
yaliyofanyika Kasri ya Al Alam Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Oman mara baada ya
kuwasili Kasri ya Al Alam Muscat nchini humo tarehe 12 Juni, 2022.
Kikosi
cha Jeshi la Oman kikiwasili katika viwanja vya Kasri ya Al Alam kwa
ajili ya Mapokezi Rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, Muscat nchini Oman tarehe 12 Juni, 2022. PICHA NA
IKULU
Monday, June 13, 2022

RAIS SAMIA AWASILI MUSCAT NCHINI OMAN KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU TATU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment