RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI NAPE NNAUYE IKULU ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, January 21, 2022

RAIS WA ZANZIBAR AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI NAPE NNAUYE IKULU ZANZIBAR

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe.Nape Moses Mnauye, (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe. Nape Moses Nnauye, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania  ukiongozwa na Waziri wa wizara hiyo Mhe.Nape Moses Mnauye.(kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais ) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Tanzania Mhe.Nape Moses Nnauye, baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 20-1-2022.(Picha na Ikulu) 
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad