HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 29, 2021

Rais Rais Museven akamilisha ziara yake hapa nchini

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Uwanja wa ndege wa Chato Mkoani Geita, baada ya Rais Museven kukamilisha ziara yake ya Kitaifa ya Kiserikali hapa Nchini leo tarehe 29 Novemba 2021.

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad