
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip
Isdor Mpango wakati akielekea kupanda Ndege kwenda Cairo, Misri
kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Mhe. Dkt.
Philip Isdor Mpango katika uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya
kuondoka nchini kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali
ya siku tatu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono viongozi mbalimbali waliomsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Cairo nchini Misri kwa ajili ya Ziara ya Kiserikali ya siku tatu.PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment