Vodacom Tanzania Plc yashinda tuzo kwenye wiki ya Azak - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 9, 2021

Vodacom Tanzania Plc yashinda tuzo kwenye wiki ya Azak

  

 

 

Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima (kushoto) akimkabidhi tuzo Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye (kulia) baada ya Vodacom Tanzania Plc kushinda tuzo ya sekta binafsi yenye mchango mkubwa katika maendeleo ya jamii baada ya kushiriki kwenye wiki ya Azaki ambayo ilifanyika jijini Dodoma hivi karibuni.

Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc Alex Bitekeye (kushoto) akionyesha tuzo ambayo kampuni ya Vodacom Tanzania Plc ilikabidhiwa baada ya kuibuka kinara katika sekta binafsi kwa mchango wake katika maendeleo ya jamii kwenye wiki ya Azaki ambao ulifanyika jijini Dodoma hivi karibuni. Kulia ni Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt Dorothy Gwajima

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad