IGP Sirro ahudhuria mkutano Mkuu wa Interpol Nchini Uturuki - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 26, 2021

IGP Sirro ahudhuria mkutano Mkuu wa Interpol Nchini Uturuki

 Matukio mbalimbali Pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa pamoja na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai  Nchini (DCI) Camilius Wambura na Mkuu wa Interpol Tanzania SACP Gemin Mushi waliposhiriki katika Mkutano Mkuu wa mwaka wa Shirikisho la Polisi wa Kimataifa - Interpol ulioanza rasmi leo 23 - 25 Nov 2021 uko Instanbul nchini Uturuki.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad