HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 11, 2021

VICTOR AD ATAMBA NA EP

Msanii Maarufu kutoka Nigeria Victor AD  ambaye anafanya vizuri Na Ep yake ya “Nothing to prove” amemshirikisha LAVA LAVA  katika single yake “JOANA”

JOANA Ni wimbo wa mapenzi unaoteka hisia chanya ambao tayari umeachiwa katika ukanda wa Afrika mashariki mahususi kwa ajili ya mashabiki wanaozungumza kiswahili.

VICTOR AD kwa sasa yuko katika kutembelea vituo mbalimbali vya radio Na tv nchini Nigeria kwa ajili ya kusambaza na kuitangaza EP yake ya NOTHING TO PROVE EP.
Pia yuko mbioni kuja ukanda Huu wa Afrika mashariki kwa ajili ya kufanya kazi Na wasanii pendwa wa EA Na kutangaza EP yake.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad