HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, September 11, 2021

Spika Ndugai azindua Ajenda ya Mtoto Njiti 2021 jijini Dodoma leo

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (katikati) akiwa na Muanzilishi  ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel (wa pili kushoto) wakikata utepe kwenye kitabu kuashiria uzinduzi wa Ajenda ya Mtoto Njiti 2021 uliofanyika leo kwenye hoteli ya Nasheera, jijini Dodoma na kuratibiwa na Taasisi hiyo. Wengine pichani kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Mbunge wa Maswa, Stanslaus Nyongo na kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Maendeleo ya Jamii), Dkt. John Jingu. 
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa Ajenda ya Mtoto Njiti 2021 uliofanyika leo kwenye hoteli ya Nasheera, jijini Dodoma, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel. 

Muanzilishi  ambaye pia ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel na Balozi wa Watoto Njiti nchini, Doris Mollel akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa Ajenda ya Mtoto Njiti 2021 uliofanyika leo kwenye hoteli ya Nasheera, jijini Dodoma, ulioratibiwa na Taasisi ya Doris Mollel.


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad