MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AKUTANA NA JESHI LA POLISI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 23, 2021

MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA AKUTANA NA JESHI LA POLISI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Smon Sirro akizungumza na baadhi ya Maafisa Wakuu wa Makao Makuu ya Polisi Dodoma (Hawapo pichani) wakati wa kikao na Msajili wa Vyama vya siasa nchini Jaji Francis Mutungi (wa pili kulia) ambapo mambo kadhaa yalijadiliwa kuhusiana na changamoto za kisiasa.Picha na Jeshi la Polisi.
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi (aliyesimama) akizungumza na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Polisi Makao Makuu Dodoma (hawapo pichani) wakati wa kikao cha kujadili mambo kadha wa kadha kuhusiana na changamoto za kisiasa nchini, Kushoto ni Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro. Picha na Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad