HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 23, 2021

TULIA TRADITIONAL DANCES FESTIVAL YAFANA JIJINI MBEYA

 

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akimtambulisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) wakati wa Tamasha la Utamaduni la Ngoma za Asili lijulikanalo kama Tulia Traditional Dance Festival  lililofanyika leo katika  Viwanja vya Airport ya zamani jijini Mbeya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akizungumza na wananchi katika Tamasha la Utamaduni la Ngoma za Asili lijulikanalo Tulia ambapo amesema utamaduni wa ngoma za asili utasaidia kukuza utalii hivyo ni vema wananchi wajitokeze kufanya matamasha kama hayo ambayo pia yanaongeza kipato kwa washiriki. Tamasha hilo limefanyika katika  Viwanja vya Airport ya zamani jijini Mbeya
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) na Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) wakifuatilia  Tamasha la Utamaduni la Ngoma za Asili lijulikanalo kama Tulia Traditional Dance Festival  lililofanyika leo katika  Viwanja vya Airport ya zamani jijini Mbeya.
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb)(katikati), Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) na Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) (wa pili kutoka kulia) katika picha ya pamoja na wadhamini waTamasha la Utamaduni la Ngoma za Asili lijulikanalo kama Tulia Traditional Dance Festival  lililofanyika leo katika  Viwanja vya Airport ya zamani jijini Mbeya.
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) akipokea zawadi ya T-shirt kutoka kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb) alipotembelea banda la Maryprisca Foundation  katika Tamasha la Utamaduni la Ngoma za Asili lijulikanalo kama Tulia Traditional Dance Festival  lililofanyika leo katika  Viwanja vya Airport ya zamani jijini Mbeya. Anayeshuhudia ni Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb).
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) akimkaribisha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja (Mb) (kulia) katika Tamasha la Utamaduni la Ngoma za Asili lijulikanalo kama Tulia Traditional Dance Festival  lililofanyika leo katika  Viwanja vya Airport ya zamani jijini Mbeya. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mjini, Dkt. Rashid Chuachua.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad