Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzbar akutana na Balozi wa Oman - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 1, 2021

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzbar akutana na Balozi wa Oman

 

Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzbar Mhe. Othman Masoud Othman (kulia) , akimkaribisha  ofisini kwake Migombani jana Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi. Balozi huyo alifika Ofisini kwa makamu  Migombani mjini zanzibar jana kufanya naye mazungumzo kuhusiana na masuala mbalimbali. 
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, (kulia) akizungumza  na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi. Mazungumzo hayo yalifanyika jana Ofisini kwa Makamu Migombani Mjini Zanzibar.
Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, (kulia) akisisitiza jambo alipozungunza na Balozi mdogo wa Oman aliyepo Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi. Mazungumzo hayo yalifanyika jana Ofisini kwa Makamui Migombani Mjini Zanzibar (Picha kwa hisani ya Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad