HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 24, 2021

Rais Samia awasili Nchini Zambia kuhudhuria kuapishwa Rais Mteule wa Zambia Hichilema

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema leo Agosti 24,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Zambia alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akangalia vikundi vya Ngoma za aina mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Keneth Kaunda Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema. PICHA NA IKULU.
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad