HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 24, 2021

HAWA HAPA MARAIS WA ZAMBIA TANGU KUPATA UHURU

IKIWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassani akiwa amehudhuria Kuapishwa kwa Rais wa Jamhuri ya watu wa Zambia, Hakainde Hichilema hawa hapa nchi marais waliowahi kuongoza nchi ya Zambia huku wakipokezana kijiti kutoka chama kimoja hadi kingine.

Mpigania wa Uhuru wa Chama cha United National Independence, Rais Kenneth Kaunda ambaye alifariki dunia Juni 17,2021 Rais Hakainde Hichilema ni Rais wa pili kushika nafasi ya kuongoza nchi ya Zambia wakitokea chama cha United National Independence.

Rais Hakainde Hichilema ameapishwa leo huku akiwa amemuondoa madarakani aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Edger Lungu akitokea chama cha Movement for Multiparty Democracy.
SNJina
(miaka ya maisha)
PichaMuda wa UtawalaChama
1Kenneth KaundaKenneth David Kaunda detail DF-SC-84-01864.jpg24 Oktoba 19642 Novemba 1991United National Independence Party
2Frederick Chiluba2 Novemba 19912 Januari 2002Movement for Multiparty Democracy
3Levy MwanawasaLevy Mwanawasa 2004-09-23.jpg2 Januari 200219 Agosti 2008Movement for Multiparty Democracy
4Rupiah Banda29 Juni 20082011Movement for Multiparty Democracy
5Michael Sata20112014Movement for Multiparty Democracy
6Guy Scott20142015Movement for Multiparty Democracy
7Edgar Lungu20162021Movement for Multiparty Democracy
8Hakainde Hichilema2021-United Party for National Development

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad