HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 27, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UFARANSA NA SWITZERLAND NCHINI TANZANIA IKULU LEO

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiania na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe.Frederic Clavier kwa kugonganisha mikoni alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 27-4-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.leo 27-4-2021.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbiu wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania Mhe. Frederic Clavier, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na mgeni wake Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbui wa Ikulu Jijini Zanzibar alipofika kujitambulisha.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe. Didier Chassot, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Switzerland Nchini Tanzania Mhe.Didier Chassot, alipowasili katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya mazungumzo na kujitambulisha na (kulia kwake) Afisa wa Ubalozi Bi. Esther Majani.(Picha na Ikulu)



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad