HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 27, 2021

WAZIRI MKUU ATEMBELEA KIWANDA CHA KUUNGANISHA MAGARI CHA BM MOTORS NA KIWANDA CHA MADAWA KAIRUKI, KIBAHA MKOANI PWANI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Madawa cha Kairuki, Dk. Muganyizi Kairuki (kushoto), wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)





Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Meneja wa Kiwanda cha Madawa cha Kairuki, Ellen Magita, wakati alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiangalia basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa amekaa kwenye basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, Aprili 27, 2021. Kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hiyo Bw. Jonas Nyagawa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiingia kwenye basi, lililounganishwa na kiwanda cha kuunganisha mabasi cha BM Motors, kilichopo Zegereni Kibaha mkoani Pwani, kinachomilikiwa na Mtanzania Bw. Jonas Nyagawa Aprili 27, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad