HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 27, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AMEZUNGUMZA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA IKULU LEO


 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha,mazungumzo  hayo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo.27-4-2021.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe.Donald John Wright, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo  yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Balozi wa Marekani Nchini Tanzania Mhe. Donald John Wright alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha leo 27-4-2021, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad