
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vilioko
Zanzibar, akitowa taarifa ya Serikali kuhusiana na Kampuni ya Masterlife
Microfinance Ltd, iliyokuwa ikiendesha shughuli za kifedha ikiwemo
kupokea amana na kutoa mikopo kinyume cha Sheria na taratibu za Nchi,
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo
6/4/2021.
MWANDISHI wa habari wa ITV Ndg. Farouk Karim akiuliza maswali wakati wa
mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akitowa taarifa ya Serikali
kwa Waandishi wa habari kuhusiana na Kampuni ya Masterlife Microfinance
Ltd, ilioko Zanzibar, mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.MWANDISHI wa habari wa gazeti la Dailynews Zanzibar Ndg. Masato Masato
akiuliza swali kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa mkutano wa kutoa
taarifa ya Serikali kuhusiana na Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd,
mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.MWANDISHI wa habari wa Gazeti la Zanzibar leo Bi. Mwantanga Ame akiuliza
swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akitowa taarifa wa
Serikali kuhusiana na Kampuni ya Masterlife Microfinance Ltd, iliyokuwa
ikitowa huduma za Kifedha, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar.WAANDISHI
wa habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakimsikiliza Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani ) akitowa taarifa ya Serikali kuhusiana na Kampuni ya
Masterlife Microfinance Ltd, ilikuwa ikiendesha shughuli za kifedha
kinyume na sheria, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments:
Post a Comment