Nusu Fainali ya Carabao Cup Kutimua Vumbi Leo Usiku - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 6, 2021

Nusu Fainali ya Carabao Cup Kutimua Vumbi Leo Usiku

 *Ni Manchester Derby!! Manchester United vs Manchester City!

BAADA ya kutoka suluhu kwenye EPL, miamba hii ya jiji la Manchester inakutana tena kwenye nusu fainali ya kombe la Carabao Cup.


Kutokana na mlipuko wa COVID19, mashindano haya na mengine mengi kwenye ulimwengu wa soka hayatokuwa na michezo miwili nyumbani na ugenini. Badala yake, kuanzia hatua ya robo fainali ni mchezo mmoja tu utakaoamua nani anasonga mbele.


Nusu fainali ya Carabao Cup msimu huu imetuletea tena Manchester Derby kwa mara ya pili msimu huu.


Hii ni derby ya 9 kwenye historia ya mashindano haya ambapo kitakwimu, Man United ameshinda mara 4, Man City pia ameshinda mara 4 na wametoka sare mara 1.


Kwa upande wa ubingwa, City anaingia kwenye mchezo huu kama bingwa mtetezi wa Carabao Cup akiwa amebeba kombe hilo mara 4 katika fainali 5 alizocheza.


United walibeba kombe la Carabao Cup mwaka 2017 walipokuwa na Jose Mourinho kama kocha wa timu hiyo. Msimu uliopita, United alitolewa na City katika hatua ya nusu fainali. Msimu huu mambo yatakuwaje??


City wamebeba kombe la Carabao Cup mara 7 huku United wakibeba kombe hilo mara 5. Mchezo wa mwisho kwenye EPL, walitoka sare lakini huku ni hatua ya nusu fainali. Bingwa wa mchezo huu anajiweka kwenye nafasi ya kubeba taji la kwanza kwa msimu wa 2020/21.


Mchongo mzima upo Meridianbet. Wataalamu wa Meridianbet wamekuwekea odds za michezo hii hapa.  


Jisajili na Meridiabet hapa hapa.  na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

4 comments:

Post Bottom Ad