Instant Keno kutoka Studio za Expanse | Kupitia Kasino ya Meridianbet Pekee - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 28, 2021

Instant Keno kutoka Studio za Expanse | Kupitia Kasino ya Meridianbet Pekee

 Graphical user interface

Description automatically generated

* Weka utabiri wako kwenye namba 10 za bahati ukiwa unategemea faida kubwa kwenye mchezo wa Instant Keno kutoka Studio za Expanse, mchezo wa kuvutia unaopatikana Meridianbet pekee.

Instant Keno kutoka Studio za Expanse

UMEWAHI kucheza keno? Ni mchezo wenye kila aina ya burudani, hasa unapozidisha namba kwenye mchanganyiko. Hilo ndio lengo kubwa la Studio za Expanse kwenye mchezo wa Instant Keno, mchezo unaokupatia faida kubwa ya papo hapo

Unaweza kuucheza mchezo huu kupitia Kasino ya Meridianbet pekee.


Mchezo huu unapambwa na zawadi ambazo zinapendwa zaidi na wachezaji wa keno. Mchezo unaweza kukurudishia faida kati ya 96-96.71%, Instant Keno ni aina ya mchezo uliouhitaji kwa muda mrefu bila mafanikio.


Wild Lotto Ride

Mchezo wa Instant Keno kutoka Expanse Studios unaanza kwa kuweka namba 80. Zimegawanyika kwenye rangi ya njano, nyekundu, kijani na blue (20 kila moja). Ili kuanza mchezo, unatakiwa kuweka ubashiri wako. Kuna machaguo mengi, kiwango cha chini ni coin 1 na cha juu zaidi ni coin 7,500. Weka dau lolote unaloweza na kisha bofya kitufe cha ‘play’ 

Unaweza kuchagua namba moja au zaidi (zisizidi namba 10) au kuchagua kuanzia namba 2 mpaka 9. Utapaswa kubofya kitufe cha ‘Add’ ili kuweka namba upande wa kulia kama ilivyo kwenye tiketi ya lottery. Kisha, utaweka utabiri wako na kuanzisha mchezo na usubiri matokeo ya malipo.


Kinachotofautisha Instant Keno na michezo mingine ni tabiri za ziada na ongezeko la namba. Kupitia tabiri za ziada, unaweza kutabiri rangi ya namba ya kwanza, jumla ya namba za kwanza, namba shufwa/witiri za mwanzo au mpangilio wa mstari wa namba za kwanza. Odds za kila tabiri za ziada zinaonekana upande wa kulia na zitaongeza faida yako kulingana na namba hiyo.


Mchezo utakuwekea nyongeza zisizo na mpangilio (0.5, 1 au 2) kwenye ushindi wako kabla ya namba kutolewa. Malipo yatategemea idadi ya namba zitakazotolewa na idadi ya namba ulizopatia. Ni sawa na dau lako la awali likizidishwa na idadi ya ongezeko moja. Kadiri unavyochagua namba nyingi, ndivyo unavyopata malipo makubwa.


Ongeza tabiri za ziada kwenye mchanganyiko, itadhihirisha kwanini Instant Keno kutoka Expanse ni mchezo bora wa keno mtandaoni.


Inapatika Meridianbet Pekee.

Michezo yote kutoka Expanse Studios inapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet ni vivyo hivyo kwenye Instant Keno. Hutolipata kwingine popote. Meridianbet wanakupatia mchezo huu bure au kwa pesa halisi, hautakuwa umejitendea haki kama utakosa burudani ya mchezo huu.


Vile vile, Instant Keno inakupa fursa ya kuangalia michezo mingine inayopatikana Meridianbet. Utajionea michezo yote mipya inayoendelea kutoka pamoja na michezo yote inayopatikana bure au kwa pesa halisi. Kasino inakupatia michezo yote uliyoisubiri kwa muda mrefu ikiwa katika mazingira ya usalama zaidi.


Pia, unaweza kuongeza promosheni zinazoburudisha, hii ni kati ya sababu za Meridianbet kuwa tovuti inayopendwa na wapenzi wengi wa michezo. Instant Keno ni toleo jipya miongoni mwa michezo mingine mingi, usikose fursa ya kucheza mchezo huu kupitia Kasino ya Meridianbet.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad