RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 2 December 2020

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNICEF IKULU

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF
Nchini  Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo (kushoto)
Mwakilishi wa Unicef hapa zanzibar Maha Damaj.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF
Nchini  Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe.Rais leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi  akizungumza na  Mwakilishi Mkaazi wa UNICEF
Nchini  Tanzania Nd.Shalini Bahuguna alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo pamoja na kusalimiana na Mhe. Rais leo. (Picha na Ikulu.)
 
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad