Burudani na Ushindi wa EPL Vinarejea Kwako na Meridianbet - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, September 10, 2020

Burudani na Ushindi wa EPL Vinarejea Kwako na Meridianbet

MSIMU uliopita ulikuwa na changamoto kibao ikiwepo janga lililosababisha kupungua kwa radha ya burudani ya soka na michezo mingine. Sasa msimu mpya wa Ligi Kuu Uingereza unakujia kivingine, vilabu vyako pendwa vimejiandaa vyema kufanya maajabu na kukupa mkwanja.


Wiki ya kwanza ya mechi tunaenda kushuhudia mechi za ufunguzi wa ligi, wakati mashabiki wakijiandaa kuanza kuingia viwanjani oktoba, Meridianbet wanakuhakikishia kuwa na wewe kwa kukupa ofa kabambe za msimu wa soka kwa Odds kubwa za EPL na bonasi nyingi zikiambatana mashindano ya #BashiriNaUshinde kupitia ukurasa wao wa Facebook.


Wakati mechi ya Manchester United dhidi ya Burnley na Manchester City dhidi ya Aston Villa zikiahirishwa, mechi 8 zipo kwa ajili yako kwa odds kubwa hapa Meridianbet. Siku ya Jumamosi, washika mtutu Arsenal watazama dimbani dhidi ya Fulham, Watakatifu Southampton wataumana na Crystal Palace, huku Liverpool atawika mbele ya Leeds United wakati Westham akimkaribisha Newcastle United. Odds kibao kwa machaguo zaidi ya 3000 unapata hapa.


Jumapili itapambwa na mechi mbili! West Bromwich Albion hawataki kupoteza mechi ya kwanza mbele ya Leicester wenye njaa ya pointi 3 za kwanza. Tottenham  wana njaa ya ushindi dhidi ya Everton.  Jumatatu sasa, burudani inaendelea pale The Blues –Chelsea wanapomtembelea Brighton, wakati wapori pori Wolverhampton wakivaana na Sheffield United. Kutoka Hispania, La Liga itakujia pia.


Meridianbet wana pesa yako hapa, shuka nao dimbani kwa Odds  na machaguo ya kujipimia.

Meridianbet ni uhakika! Unalipwa asilimia 100% ya tiketi yako ya kwanza inayopoteza, kila muamala unaofanya kuingia kwenye akaunti yako unapata asilimia 5% ya muamala kama bonasi, usisubiri fungua akaunti sasa.

18 comments:

  1. Nimefurahi kuona usajili mzuri kwa baadhi ya timu hivyo kutakuwa na ushindani mkubwa sana

    ReplyDelete
  2. Arsenal watulize vichwa ili wasajili kwa umakini zaidi

    ReplyDelete

Post Bottom Ad