NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 16, 2020

NMB YATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JKT DODOMA,YAMPONGEZA MEJA JENERALI MBUGE

Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (wa kwanza kushoto) akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge (katikati) kwa kupandishwa cheo kuwa Mkuu wa JKT, wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma. Kulia ni Meneja Mahusiano na Serikali wa Benki ya NMB, Josephine Kulwa na Meneja wa Kanda ya Kati, Nsolo Mlozi (wapili kulia).
 Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa Benki ya NMB, Juma Kimori (aliyenyoosha mkono) akimwelezea jambo Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Meja Jenerali, Charles Mbuge ( wapili kushoto) wakati wafanyakazi wa benki hiyo, walipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad