Kusubiri Kumekwisha, Ligi ya Primia Imerejea! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 17, 2020

Kusubiri Kumekwisha, Ligi ya Primia Imerejea!

 BAADA ya kusubiri kwa miezi mitatu kwa wapenzi na mashabiki vindaki ndaki kutoka pande zote  Ligi Kuu ya Uingereza inaendelea rasmi leo.  Mchezo wa kongwe na wa kufurahisha zaidi unawarudisha wakali halisi mchezoni, na Meridianbet imejali burudani hii na kukuletea odds bora kwa ajili yako. Shindano la Ligi Kuu Uingereza ni la kipekee na lina machaguo zaidi ya 9000 za kwa ajili yako!

Ni kwa Meridianbet pekee, utapata mechi 92 za SOKA BORA UINGEREZA ambazo zitachezwa mwezi ujao na nusu. Na kurejea kwake kunakuwa kwa namna yake ya tofauti wakati Manchester City wakikutana uso kwa uso na Arsenal, na huku Aston Villa akichuana vilivyo na Sheffield United.

Kuanzia City Blues hadi kwa Gunners, tunatarajia kuona soka bora tu kutoka huko. City wakiwa na nafuu ya kuwa wenyeji, na huku wakiwa nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi - wanapigiwa sana upatu kushinda mchezo wa leo.  Arsenal kwa upande mwingine, bado wako nyuma - lakini kwa kasi yao ya wastani kwa msimu mzima, watahitaji kufanya kazi ya ziada kutushawishi na si vinginevyo.

Ushindi wa nyumbani kwa Odds ya 1.38 unakupa kiasi kidogo kwa beti moja, vinginevyo usimame kiume kwa upande wa City. Maoni yetu ni uchanganye ushindi wa timu ya Pep Guardiola na Magoli zaidi ya mawili, yaani Over 2.5!

Chaguo la pili ni kwa timu zote kushinda, unatakiwa kufahamu kuwa Arsenal tayari wamewahi kutikisa nyavu za golikipa wa City mara nyingi katika michuano. Odds 1.64 ni nzuri ukizingatia na timu zote zinarejea baada ya mapumzikoya kipindi kirefu na kuwa tayari kucheza-hakuna ambaye atatarajia kucheza mpira wa kujilinda.

Mzunguko wa 30 utapigwa Ijumaa, wakati mechi zingine zitachezwa wikiendi utashuhusia mpambano wa mechi kali. Tottenham wataikaribisha Manchester United uwanjani. Mechi nne zitachezwa Jumamosi (Juni 20) na inaonekana mtanange unaovutia watu wengi utapigwa Jumapili, pale wapinzani wa muda mrefu Everton watakapochuana na vinara wa Ligi Liverpool, tutashuhudia Liverpool akikaribia kuwa bingwa pale Merseyside.

Ni maarufu na kulingana na wengi, ni mashindano yenye upinzani mkubwa Duniani yanarejea dimbani na Meridianbet imeandaa ofa nyingi kwaajili yako kwa tukio hili. 

Unachotakiwa ni kufungua akaunti ya Meridianbet.co.tz na upate moja ya bonasi nyingi zilizokuwemo. Ikiwemo 5% kwa kila muamala unaoweka!

Na, kama ujuavyo Meridianbet ni nyumbani kwa bonasi bora Tanzania, kama tiketi yako haijashinda-tunaushindi mwingine unakusubiri wewe!

31 comments:

 1. Tulisubiri sana kwa wasaka ushindi ni habar njema

  ReplyDelete
 2. Asanteee sana meridianbet kwa kutujali mashabiki wenu

  ReplyDelete
 3. meridianbet mpo juu options kibao odds za kibabe

  ReplyDelete
 4. Yaan tulikuwa tunasubili ligi kwa hamu hatimae imerudi

  ReplyDelete
 5. maana tulimis sana mechi atimae zimerud tena

  ReplyDelete
 6. City amepiga Mpira mwingi sana Jana sema Arsenal Daah dhohofu bin la hali

  ReplyDelete
 7. Moto ushawaka EPL uku natengeneza jamvi langu

  ReplyDelete
 8. Moto ushawaka EPL uku natengeneza jamvi langu

  ReplyDelete

Post Bottom Ad