WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WASHINGTON, DC - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 8 November 2019

WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA ATEMBELEA UBALOZI WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WASHINGTON, DC

Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu pamoja na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe aliofuatana nao siku ya Jumanne Novemba 5, 2019.
Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na Maafisa na Watumishi wa Umma katika Ubalozi huo  siku ya Jumanne Novemba 5, 2019.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad