KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA MTAALAM MSHAURI KUTOKA CPA MAKAO MAKUU BUNGENI JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 8 November 2019

KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA MTAALAM MSHAURI KUTOKA CPA MAKAO MAKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

 Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akisalimiana na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akimsikiliza Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
 Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akizungumza na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon (wa pili kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Katibu Msaidizi wa Bunge, Ndg. Zainab Kihange, Katibu wa Spika wa Bunge, Ndg. Saidi Yakubu na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Uhusiano wa Kimataifa na Itifaki, Ndg. Daniel Eliufoo. 
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akiagana na Mtaalam Mshauri Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola (CPA) kutoka Makao Makuu Uingereza, Ndg. Anthony Staddon baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad