LIPULI YAITANDIKA MWADUI BAO 2-0 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, 2 November 2019

LIPULI YAITANDIKA MWADUI BAO 2-0

 Hekahela langoni mwa timu ya Timu la Lipuli ya Mjini Iringa katika mchezo wa Ligi kuu uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Samora dhidi ya Timu ya Mwadui ya Shinyanga. Mchezo huo umemalizika kwa Timu ya Lipuli kuibugiza mabao mawili kwa nunge (2-0) yaliyotiwa kimiani na Mshambuliaji Daruesh Saliboko.
 Beki wa Timu ya Lipuli, Novart Lufunga akiwania mpira wa juu ya Mshambuliaji wa Timu ya Mwadui, Raphael Aloba, katika mchezo wa ligi Kuu Tanzania Bara, uliopigwa jioni hii katika Uwanja wa Samora, Mkoani Iringa. Lipuli imeshinda 2-0.
 "...ukitua tu, naondoka nao..."


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad