Mkuu
wa Mkoa wa Kilimanjaro Dkt.Anna Mghwira akizawadiwa samaki aina ya
Kambare na mwanakijiji wa Suwa Wilayani Handeni Mkoani Tanga. Dkt
Mghwira yupo ziarani Handeni kujifunza na kujionea athari ya mafuriko ya
mvua yaliyotokea hivi karibuni Mkoani Tanga. Bwawa la Suwa limeathirika
kwa kiasi kikubwa sana ambalo ni chanzo cha maji Handeni vijijini.Picha na Jamal Zuberi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Tanga (OMM-Tanga)
Monday, November 4, 2019

RC KILIMANJARO AJIFUNZA JAMBO ATHARI YA MAFURIKO YA MVUA WILAYANI HANDENI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment