KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO CP LIBERATUS SABAS, AMEFANYA UKAGUZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA OFISI ZA MARINE JIJINI DAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 4 September 2019

KAMISHNA WA OPERESHENI NA MAFUNZO CP LIBERATUS SABAS, AMEFANYA UKAGUZI WA UTENDAJI KAZI KATIKA OFISI ZA MARINE JIJINI DAR

 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, akiwasili katika ofisi za Kikosi cha Askari Wanamaji cha Jeshi la Polisi katika ofisi zao zilizopo jijini Dar es Salaam na kushoto kwake ni SP Benedict Nyagabona. 
 Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, akipata maelekezo utendaji kazi wa Askari Polisi wanamaji kutoka kwa Kamanda wa Kikosi cha Askari wanamaji Tanzania ACP Evince Mwaijage baada ya kuwasili ofisini hapo. 
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo Liberatus Sabas, aliekaa katika Boti ya Polisi Wanamaji akiwa amelejea baada ya kumaliza kukagua vipenyo hatarishi na vinavyotumiwa na wahalifu wa majini. ( PICHA NA JESHI LA POLISI).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad