MKUU WA WILAYA YA UBUNGO APATIWA ELIMU KUHUSU MAHAKAMA INAYOTEMBEA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 4 September 2019

MKUU WA WILAYA YA UBUNGO APATIWA ELIMU KUHUSU MAHAKAMA INAYOTEMBEA

Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Kisare Matiku Makori (kulia) akipatiwa elimu kuhusu gari maalum la Mahakama Inayotembea kwenye eneo la Kibamba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo Kimara, Mhe.Geiza Mbeyu. (katikati) ni Karani wa Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba.
Karani wa Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Nise Mwasalemba(kulia) akiwaelezea baadhi ya wakazi wa Kimara Stopover, jijini Da res Salaam kuhusu Mahakama Inayotembea Inavyofanya kazi baada ya kuwapatia elimu.(Picha na Aziza Muhali – SJMC)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad