WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TAASISI LA UTAFITI WA MADINI TANZANIA(GST) - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 28 June 2019

WAZIRI MKUU ATEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA TAASISI LA UTAFITI WA MADINI TANZANIA(GST)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea banda la maonesho la Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) yanayoenda sambamba na Kongamano la uwekezaji katika Mkoa wa Dodoma yanayofanyika katika viwanja vya ukumbi wa CCM ujulikanao kama CCM Convention Center, anayetoa maelezo kwa Waziri Mkuu ni mtaalam wa mambo ya Jiolojia Ambaliche Tamambele kutoka taasisi ya Jiolojia. 
Moja ya jukumu la Taasi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania ni kukusanya, kuchambua, kutafasiri na kutunza takwimu na taarifa mbalimba za jiosayansi kwa maana ya Jiolojia, Jiokemia , na Jiofizikia pamoja na upatikanaji wa madini nchini.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad